|
Mwongozo wa ushirikishwaji katika kupanga
Pakua toleo kamili la PDF - 1,979 kb |
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) |
Mtindo ulitumika na uwasilishaji wa maudhui ya kitini hiki hauwakilishi kwa namna yoyote ile
maoni ya Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) kuhusiana na masuala ya
kisheria au maendeleo ya nyanja yoyote ile na nchi, himaya, mji au mamlaka yoyote, au kuingilia
na mipaka yake. Yanapotajwa majina ya kampuni au bidhaa za viwanda, bila kujali kama bidhaa
hizo zina haki miliki au la, haimaanishi kuwa bidhaa hizo zimekubaliwa au zimependekezwa na
FAO dhidi ya bidhaa kama hizo ambazo hazikutajwa. Maoni yaliyoelezwa katika kitini hiki ni ya
waandishi na si lazima yawe ndiyo maoni rasmi ya FAO. Haki zote zimehifadhiwa. Kudurufu na kusambaza taarifa zilizomo humu kwa madhumuni ya kuelimisha na si kufanya biashara kunaruhusiwa bila kuwa na ulazima wa kupata ruhusa ya maandishi kutoka kwa mwenye haki miliki, ili mradi chanzo cha taarifa hizo kitajwe wazi. Hairuhusiwi kudurufu kitini hiki kwa madhumuni ya kibiashara bila kupata ruhusa ya maandishi kutoka kwa mwenye haki miliki. Maombi ya ruhusa hiyo yaelekezwe kwa: Chief, Electronic Publishing Policy and Support Branch |
© FAO 2009